top of page

No plans available

Once there are plans available for purchase, you'll see them here.

No plans available

Once there are plans available for purchase, you'll see them here.

No plans available

Once there are plans available for purchase, you'll see them here.

KCV Students' Welfare Fund  

 

KCV Students' Welfare Fund Ni Nini?

Wasee wa Kenyan Community in Victoria (KCV) wameamua kuleta fund mpya yaani, KCV Student Welfare Fund, yakusaidia ma-students wa Kenya Victoria, Australia. Life huko si mchezo; rent, dishi, fare, na zingine mob zinaweza kumake maisha kuwa noma sana kwa students. Hii fund itahelp ma-students wazidi kufanya vizuri kimasomo bila stress za dough.

Kwanini  Hii Fund ni Important?

Imagine uko in a new country, unajaribu kusoma lakini kila time unaworry story za dough ya dishi au rent. Hii ni, noma? Hii ndio reason KCV iliamua kucome na hii plan, kumake sure ati kila student a attend daro bila stress ya doo. Ni zaidi ya kusaidia financially; ni kujenga community  ita support wasee kuachieve goals zao.

 

Benefits Kwa Mastudents

Mastudents  wataget dough ya kusort daily living expenses zao, kumaanisha wanaweza concentrate kwa masomo zao. Imagine kupata hadi A$3000 per application, mara mbili kwa mwaka? Itabidi stress za dough zipungue, na focus iwe kwa books.

Benefits Kwa Wasee Wanacontribute

Kwa wasee kusupport hii fund, si tu ati mnaassist, lakini pia mnajenga community stronger. Plus, kutakuwa na recognition ya your support, tax benefits, na chances za ku-meet na wasee wengine wenye wanachangia towards good causes. In short, utafeel fulfilled knowing ati umesaidia mtu kufikia goals zake.

Benefits Kwa Community

Kuleta hii fund, KCV inaenhance unity kati ya Wakenya Victoria, inaboost reputation ya KCV, na kuleta positive impact socially. Itaincreases engagement kwa community vile wasee hucome together to support one another, laying the groundwork for future initiatives na kuexpand role ya KCV in supporting its members.

Utado aje kuget help

Ili uconsiderwe deserving, lazima uonyeshe ati una haja ya financial support, uko committed kimasomo, unaparticipate kwa community activities, na ukuwe na goals clear ya personal na educational growth. Ni kuhakikisha ati support inaenda kwa wasee wenye wakona ambition ya ukweli.

Ways za Kuchangia

Mnaweza contribute through a subscription model kwa website ya KCV ; tukona categories tatu: Hustler, Odi na Bazu.

  • A$10 kila month (Hustler) -Hii ni ya wale wasee hutoa tu, hata hawajui ni kwanini. Ni watu wazuri by nature. Wabarikiwe

  • A$25 Kila Month (Odi) - Hii ni ya wale wasee wameomoka lakini hawajui, Mungu abariki mifuko zao!

  • A$50 Kila Month (Bazu) -Hii ni ya wazito wenye wakona roho safi na kubwa kama account zao

 

Hii model ya subscription ni fiti coz ni sustainable na  itaencourage transparency, accountability, na resources za kutosha za kusaidia ma-student.

Next Steps

Tumesha launch hii fund na tunaenda teke na steps za kumake sure  itawork. Tuko in the process ya kusettle management committee, kuset guidelines, na kuimplement feedback mechanisms. Awareness campaign iko underway pia, so stay tuned.

Tujengane Wasee

Tuna invite kila msee  kujoin hii movement. Together, tunaweza make sure ati ma-students wa Kenya wenye wako Victoria wana support noma. Si just about kudonate; ni kuinvest in future leaders. Support KCV Student Welfare Fund na ukuwe part ya movement ile ina push for education, community support, na shared success.

bottom of page